Saturday, 7 March 2015

SERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa Balozi huyo,Masaki Jijini Dar es salaam,kulikofanyika hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.
Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kushoto) akionyesha kitu kwenye karatasi kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine,wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.
Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga akitoa hotuba yake mbele ya Ujumbe wa Wilaya ya Monduli pamoja na Waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.
Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Twalib Mbasha wakisaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Monduli.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.Wengine pichani ni Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine (katikati),Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli,Edward Sapunyu pamoja na Afisa wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Idara ya Miradi wa Ubalozi wa Japan nchini,Takashi Higuchi.
Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Twalib Mbasha wakibadilishana mikataba mara baada ya kuisaini,wakati wa hafla ya fupi iliyofanyika leo nyumbani kwa Balozi huyo,Masaki jijini Dar.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri ya Monduli dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi miwili ya wilaya hiyo.Wengine pichani ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli,Edward Sapunyu.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.
Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine akitoa akizungumza machache mbele ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa,Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Picha ya pamoja.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga mara baada ya hafla hiyo.
 

Friday, 6 March 2015

RAIS ATUNUKU NISHANI KATIKA SHEREHE ZILIZOFANYIKA CHUO CHA MAFUNZO YA MAAFISA WA JESHI TANZANIA, MONDULI (TMA) TAREHE 06,2014


A
Bendi ya jeshi la wananchi JWTZ ya Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa jeshi TMA ikiongozwa na Maj. Ramadhani Salum Mangapi ikiburudisha wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Ukumbi wa Jenerali Tumaini Kiwelu
 NISHANI
 Nishani alizotunuku Amri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ni kama ifuatavyo.
 1.NISHANI YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANI:
Nishani hii imetolewa kwa maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania watakaokuwepo katika utumishi hai tarehe 1 Septemba,2014
 2,NISHANI YA OPERESHENI SAFISHA MSUMBIJI 1986 – 1988
Nishani hii imetolewa kwa maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania walioko kwenye utumishi,waliostaafu na waliofariki ambao walishiriki katika Operesheni Safisha Nchini Msumbiji Mwaka 1986 hadi 1988
jk1
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Wazii wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arush Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha
jk2
 Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, , Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa, na Mama Hadija Mwinyijk3
 Viongozi wa dini mbalimbali
 
jk4
 Viongozi wa dini mbalimbali
 
jk5
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi na viongozi wengine 
jk7
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, , Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa, na Mama Hadija Mwinyi
jk6
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahadaPG4A4612 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ,  Mkuu wa majeshi  ya Ulinzi nchini,  Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe  za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Mondulijk8
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ, Mnadhimu Muu wa majeshi  ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba   katika sherehe  za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli
jk9
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Luteni Jenerali Charles Lawrence Mkakalajk10
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ  Meja Jenerali Salum Mustafa Kijuu
jk11
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga
jk12
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jenerali Joseph Furaha Kapwani
jk13
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Jackson King Mremajk14
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali
jk15
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Rogasian Shaaban Laswai
jk16
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Clemence Quadrates Kahama
jk17
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Hamis Issa Majumba
jk18
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Saleh Omar Semtuajk19
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Ezra Wilson Ndimgwango
jk20
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Kanali Mauro Kaburule Mhagama
jk21

 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Kanali Jacob Gidion Kingu
jk22

 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Baganchwera Traseas Rutambuka
jk24

 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Asha Omar Matanza
jk25
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jackson John Kalambo
jk26
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Mathias Petro Mnkenyijk27
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Sajini Maria Daniel Marahu
jk28
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Koplo Aziza Said Jalala
jk29
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Koplo Tamasha Hemed Kondo
jk30
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba
jk32
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali Joseph Cosmas Chengelela
jk33
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali Anthony Solomon Msinday 
jk34
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali Justine Marwa Munankajk31
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali Aaron Robert Lukyaajk35
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Thomas Kassim Kiungo
jk36
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Faustine Madasha Pilula 
jk37
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Yohana Nathaniel Lemanya
jk38
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Jomnas Philipo Mhango
jk39
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Nuhu Haji Ame
jk40
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Hezron Donald Swebe
jk41
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Asante Tuyate Zambi
jk42
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Sajini Taji Mkanga Amourjk43
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Sajini Peter BaltinI 
jk44
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Jenerali (mstaafu) Martin Nikusubula Mwakalindile
jk45
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Jenerali (mstaafu) Nicolaus Fulko Miti
jk46
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hassan Athuman Ngwilizi
jk47
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Wilfred Paul Mwakalambile Kabunda
jk48
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Juma Mgeni Khamis
jk49
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Said Ally Mtonga
jk50
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Limbe Sylvester Masanja

  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Kanali (Mstaafu) Maulid Jescha Pandu

  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Said Mussa Hassan
jk53
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Sartunini John Lubuvajk54


 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kapteni Issa Pandu Haji
jk55
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Asajile Mwapondo Swebe
jk56
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Khamis Ussi Faki
jk57
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Sajini Kassimu Makame Haji
jk58
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Hamid Ame Juma
jk59
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Praveti (Mstaafu) Haji Hamada Hamza
jk60
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Meja Ayubu Swedi Twalipo
jk61
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Kapteni Bruno Stansilaus Mtillu
jk62
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Hamad Issa Sharifu
jk63
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa  Warrant Officer II Othuman Mohamed Mpemba
jk64
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Mzee Ally Juma
jk65
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Koplo William Simon Laizerjk66
 Viongozi wakisimama mguu sawa kwa wimbo wa Taifa baada ya zoezi la kutunuku Shahada
jk67
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa Taifa
jk68
 Majenerali mbalimbali 
jk69
 Makamanda wa Jeshi la Magereza
jk70
 JWTZ Brass Band ikipiga wimbo wa Taifa
jk71
 Makamanda wakipiga saluti wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
jk72
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wote
jk73
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa
jk74
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na majanerali
jk75
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wastaafu na wawakilishi
jk76
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wastaafu baada ya picha na Watunukiwa 
jk77
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na kamati ya maandalizi 
jk78
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na wanahabari wa mkoa wa Arusha
jk79
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Viongozi wa dinijk80
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mke wa Rais wa awamu ya Pili Mama Hadija Mwinyi
jk81
 Rais wa Awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinga, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John Samwel Malecela, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Lowassa na WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Mhe Steven Wasira
jk82
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ
jk83
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ
jk84
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ