Bendi ya jeshi la wananchi JWTZ ya Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa jeshi TMA ikiongozwa na Maj. Ramadhani Salum Mangapi ikiburudisha wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Ukumbi wa Jenerali Tumaini Kiwelu
NISHANI
Nishani alizotunuku Amri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ni kama ifuatavyo.
1.NISHANI YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANI:
Nishani hii imetolewa kwa maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania watakaokuwepo katika utumishi hai tarehe 1 Septemba,2014
2,NISHANI YA OPERESHENI SAFISHA MSUMBIJI 1986 – 1988
Nishani hii imetolewa kwa maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania walioko kwenye utumishi,waliostaafu na waliofariki ambao walishiriki katika Operesheni Safisha Nchini Msumbiji Mwaka 1986 hadi 1988
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Wazii wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arush Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha
Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, , Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa, na Mama Hadija Mwinyi





Viongozi wa dini mbalimbali
Viongozi wa dini mbalimbali
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi na viongozi wengine
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, , Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa, na Mama Hadija Mwinyi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mnadhimu Muu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Luteni Jenerali Charles Lawrence Mkakala








Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Salum Mustafa Kijuu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Joseph Furaha Kapwani
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Jackson King Mrema




Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Saleh Omar Semtua
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Rogasian Shaaban Laswai
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Clemence Quadrates Kahama
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Hamis Issa Majumba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Brigedia Jenerali Ezra Wilson Ndimgwango
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Kanali Mauro Kaburule Mhagama
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Kanali Jacob Gidion Kingu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Baganchwera Traseas Rutambuka
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Asha Omar Matanza
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jackson John Kalambo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Mathias Petro Mnkenyi






Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Sajini Maria Daniel Marahu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Koplo Aziza Said Jalala
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Koplo Tamasha Hemed Kondo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali Joseph Cosmas Chengelela
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali Anthony Solomon Msinday
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali Justine Marwa Munanka
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali Aaron Robert Lukyaa







Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Thomas Kassim Kiungo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Faustine Madasha Pilula
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Yohana Nathaniel Lemanya
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Jomnas Philipo Mhango
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Nuhu Haji Ame
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Hezron Donald Swebe
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Asante Tuyate Zambi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Sajini Taji Mkanga Amour








Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Sajini Peter BaltinI
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Jenerali (mstaafu) Martin Nikusubula Mwakalindile
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Jenerali (mstaafu) Nicolaus Fulko Miti
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hassan Athuman Ngwilizi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Wilfred Paul Mwakalambile Kabunda
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Juma Mgeni Khamis
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Said Ally Mtonga
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Limbe Sylvester Masanja
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Kanali (Mstaafu) Maulid Jescha Pandu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali (Mstaafu) Said Mussa Hassan
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Sartunini John Lubuva










Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Asajile Mwapondo Swebe
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Khamis Ussi Faki
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Sajini Kassimu Makame Haji
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Hamid Ame Juma
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Praveti (Mstaafu) Haji Hamada Hamza
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Meja Ayubu Swedi Twalipo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Kapteni Bruno Stansilaus Mtillu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Hamad Issa Sharifu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Othuman Mohamed Mpemba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Mzee Ally Juma
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Koplo William Simon Laizer













Viongozi wakisimama mguu sawa kwa wimbo wa Taifa baada ya zoezi la kutunuku Shahada
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa Taifa
Majenerali mbalimbali
Makamanda wa Jeshi la Magereza
JWTZ Brass Band ikipiga wimbo wa Taifa
Makamanda wakipiga saluti wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wote
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na majanerali
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wastaafu na wawakilishi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wastaafu baada ya picha na Watunukiwa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na kamati ya maandalizi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na wanahabari wa mkoa wa Arusha