Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na
Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu
Mathew Gadi Mwanga,aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Monduli wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa Marehemu,Jijini
Arusha. |
No comments:
Post a Comment