Thursday, 24 July 2014

MH. LOWASSA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI OFISINI KWAKE

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Mambo ya Nje Mh. Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam aliyekwenda kumtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Saalam.

Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa Katiba Mpya, Mzozo katika eneo la Nchi za Maziwa Makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya. Kwa Maelezo zaidi kuhusiana na Mh. Lowassa na Jimbo lake la Monduli, tafadhali tembelea tovuti yake.m http://elowassa.com/monduli_swahili.php

No comments:

Post a Comment