Friday, 25 July 2014

MISAADA YAMIMINIKA SHULE YA IRKISONGO WILAYANI MONDULI

Mbunge wa Viti maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Namelok Sokoine akiangalia Bweni la Shule hiyo ya Irkisongo Wilayani Monduli lililoteketezwa na Moto Jana.

Mwakilishi wa kiwanda chaTanfoam cha Jijini Arusha Sajid Ibrahim(kulia) akimkabidhi Sehemu ya Msaada wa Magodoro 100.


Mapacha wanaoishi Wakaazi wa New York Marekani Joy na Jane wakimkabidhi Mkuu wa Shule hiyo Mama Nyange Sehemu ya Msaada wao
wa Kilo Zaidi ya Kumi za Misumari.
        
Wasamaria wema wakikabidhi Misaada yao katika Shule ya Sekondari ya
Irkisongo Wilayani Monduli, Baada ya kupatwa na Maafa ya Moto.
Misaada hii imetokana na Harambee ya Papo kwa Papo aliyoifanya
Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akitumia Simu yake ya Kiganjani

Kwa maelezo zaidi na picha tembelea.
http://elowassa.com/social_events.php?Active=News&idsoc=1&idpol=1&idpub=1&soc=0&pol=0&pub=0

No comments:

Post a Comment