Rais
mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu
mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa
zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam.
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli
Mh. Edward Lowassa akimsikiliza mwenyekiti wa taasisi ya mwalimu
Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu
Patrick Qorro jijini dsm.
No comments:
Post a Comment