Saturday, 9 August 2014

MH. EDWARD LOWASSA AHANI MSIBA WA BABA MZAZI WA MH. AMOS MAKALA

Mh. Edward lowassa akimfariji Mh. Amosi Makala, mara baada ya Ibada ya Kumuaga Marehem Baba Yake.

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Nape Moses Nnauye katika Msiba wa Baba Mzazi wa Mh. Amosi Makala.

No comments:

Post a Comment