![]() |
Waziri
Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimjulia hali
mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Arusha Mzee Jackson Kaaya nyumbani
kwake Poli Meru.Pembeni ni mkewe Bibi Jacobert Kaaya. Mzee Kaaya mwenye umri wa miaka 94 alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa TANU mkoa wa Arusha hadi alipostaafu mwaka 1984.Mh Lowassa alikuwa katibu wa Chama wa mkoa enzi za uenyekiti wa mzee Kaaya na ndiye aliyemfudisha uongozi wa kisiasa. Katika maongezi yao Mzee Kaaya amesema anasikitishwa na viongozi wa kizazi hiki kwa kuongoza kwa kulalamika badala ya kuchapa kazi. Imetolewa na Ofisi ya Edward Ngoyai Lowassa http://www.elowassa.com/ |
Sunday, 10 August 2014
MH. EDWARD LOWASSA AMJULIA HALI MWENYEKITI MSTAAFU WA CCM MKOA WA ARUSHA MZEE JACKSON KAAYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment