Tuesday, 9 September 2014

MH. EDWARD LOWASSA AHANI MSIBA WA BETTY NDEJEMBI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao Marehemu alikuwa Mjukuu wao. Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa Mwanasiasa huyo Mkongwe eneo la Uzunguni Mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na Mjukuu wake.
Marehemu Betty Ndejembi enzi za Uhai wake.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mdogo wa Marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam.Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao Marehemu alikuwa Mjukuu wao.

No comments:

Post a Comment