Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli. Mh. Edward Lowassa
akifanya mazoezi katika mitaa ya mji wa Dodoma mapema jana asubuhi kabla ya
kwenda kuhudhulia vikao vya Bunge maalum la Katiba vinavyoendelea mjini
Dodoma. Mh. Lowassa aliwahi kutamba sana kwenye mchezo wa mpira wa kikapu
zamani. |
No comments:
Post a Comment