Sunday, 10 August 2014

MH. EDWARD LOWASSA AHUDHURIA MAZISHI YA BABA MZAZI WA ROSTAM ABDUL AZIZ

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa akiwa na Komredi Hussein Bashe Katika Mazishi ya Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz katika Makaburi ya Kisutu.

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa akiwa na Katibu wa zamani Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu(kushoto) akizungumza kitu huku, Rostam Aziz(katikati) katika Mazishi ya Baba Mzazi wa Mfanyabiashara  Maarufu Rostam Aziz katika makaburi ya Kisutu.






No comments:

Post a Comment