Sunday, 10 August 2014

MH. LOWASSA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA MKOA WA DODOMA

Sheikh Mkuu Mkoa wa Dodoma Sheikh Ahmad Zubeir(kulia) akimuombea dua Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa alipokwenda kumjulia hali Sheikh Zubeir nyumbani kwake Kikuyu flats.Katikati ni Sheikh Jumanne Gombat.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akimjulia hali Sheikh Mkuu Mkoa wa Dodoma Sheikh Adam Zubeir nyumbani kwake Kikuyu Flats.Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.

Kwa maelezo zaidi tembelea http://elowassa.com/social_events.php

No comments:

Post a Comment